Unene Kupita Kiasi Tatizo Kubwa Kwa Nchi Zinazokuwa, Madhara Yake Ni Kifo.

Utafiti unaonesha mataifa yanayoendelea sasa yanakabiliwa na tatizo la unene. Takriban watu bilioni moja, Mara nne zaidi ya ilivyokuwa mwaka 1980 We upo katika kundi gani? Inatajwa kati ya watu watatu mmoja ni mnene kupita kiasi, Madhara mengi hutajwa kwa watu wa namna hiyo ikiwemo Kisukari, presha, kiharusi Nk Nchi… Read More →