Picha:Kampuni Ya Nsiima ilivyoadhimisha siku yao Miji Morogoro

Hatimae jana jumapili kampuni ya Nsiima inayoshughulika na maswala ya Catering yenye makao yake makuu mjini Morogoro iliadhimisha Siku yao waliyoipa jina la Nsiima Day ambapo pamoja na mambo mengine walitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu pia kulikua na michezo mbali mbali kama utakavyoona katika… Read More →