Baada ya Star Tv Kujitoa Star Times, TCRA Yaagiza Kurudi Mara Moja

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma akitoa maamuzi kuhusu kujitoa kwa Star TV kwenye Star Times. TCRA imeagiza Chaneli ya Star Tv irudishwe mara moja kwenye Star Times ndani ya masaaa machache yajayo. Aidha Star Times na Star TV wameelezwa kuwa wote wamevunja sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta… Read More →