MWANDISHI WA RIWAYA CHINUA ACHEBE AZIKWA KWA HESHIMA KUBWA

Mamia ya watu akiwemo Rais Googluck Jonathan wa Nigeria wamehudhuria mazishi ya mwandishi maarufu wa riwaya Chinua Achebe yaliyofanyika katika mji wa Ogidi kaskazini mwa Nigeria. Viongozi wa serikali na wabunge walimsifu Achebe aliewapinga wanasiasa wala rushwa na mara mbili mwandishi huyo alikataa kupokea tuzo za heshima za kitaifa. Hayati… Read More →