Kwa Watumiaji wa usafiri aina ya boda boda muwe makini na hili

Bunduki aina ya Shortgun Mossberg ikiwa na risasi sita ambayo ilikutwa kwenye begi la dereva huyo wa Boda boda aliyekamatwa na polisi tarehe 28.04.2013 (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha). Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoani hapa limemkamata mtu mmoja aitwaye… Read More →