MFAHAMU NEW GIRLFRIEND WA ARNOLD SCHWARZNEGGER
Huyu ndio Heather Milligan, girlfriend mpya wa Arnold Schwarznegger (65) ambaye ana umri wa miaka 38, na hii ni baada ya ndoa yake na Maria Shriver kubounce kutokana na vitendo vya kukosa uaminifu vya gavana huyu mstaafu wa jimbo la Carlifonia.









