Hizi ndio Lugha wanazotumia wabunge wetu ndani ya bungeletu Tukufu. Makinda Awaasa.

Spika wa Bunge Anne Makinda amewaasa Wabunge kutumia Lugha ya Staha ambayo ni ya Kibunge wakati wa kuchangia mijadala Bungeni. Mhe. Makinda amesema, kuendelea kutumia lugha ya matusi, kejeli na maudhi kwa baadhi ya Waheshimiwa Wabunge ni kuendelea kuliondolea hadhi Bunge.Pamoja na hilo, wabunge wanatakiwa kujikita katika kuchangia hoja… Read More →