Picha: Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri na Muhariri mkuu wa New Habari (2006) limited Absalom Kibanda akisafirishwa kwenda Afrika ya kusini kwa matibabu.
Absalom Kibanda akiwa uwanja wa ndege tayari kwa safari ya kimatibabu na ndege ya FlightLink. Hapo Ndugu.Regnald Mengi akiwa anazungumza na Ndg.Kabanda kabla hajaingizwa ndani ya ndege Ndg.Kibanda akiwa na mkewe AnjellaSemaya Ndg.Kibanda akiwa chini ya uangalizi maalum Usiku wa kuamkia leo Muhariri huyu wa New Habari (2006) limited Absalom… Read More →