ZAWADI UNAZOWEZA KUMPA MPENZI WAKO SIKU YA VALENTINE
Saa ya mkononi… Ni kitu cha kudumu so itaweka kumbukumbu nzuri. Lakini pia kumkumbusha mpenzi wako kujali muda kwani wakati ni mali. Dhahabu kama unauwezo… Kitu cha thamani kwa mpenzi wako kinaonyesha ishara ya thamani yake kwako. Zaidi ya hapo ni accet siku mkikwama mnatumia hizo hizo kuwakwamua kimaisha. Pesa… Read More →