Serikali Ipo Katika Hatua Za Mwisho Katika Kukamilisha Sera Ya Gesi Asilia
Rais Jakaya Kikwete amesema serikali iko katika hatua za mwisho kukamilisha sera ya gesi asilia na kuiwasilisha bunge hivi karibuni itayoangalia zaidi manufaa kwa taifa, mazingira ya ushiriki wa watanzania sambamba na mpango wake wa kuwezesha sekta binafsi kwa uchumi wa nchi na watu wake. Raisi Dk. Kikwete amesema hayo… Read More →