Picha 40 Wakati Wa Zawadi @ Ara’s 40 Maulid @Salmamsangi Baby Boy
Huu ni muendelezo wa picha kutoka Msasani Mall pale Terrace Lounge kwenye Maulid ya King Ara, mtoto wa Salma Msangi, alipotimiza siku 40. Maulid ilifanyika siku ya Jumamosi 27/2/2016, na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kibao. Karibu kutazama picha wakati wa kutoa zawadi.