Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu Akubaliwa Ombi Lake na Naibu Waziri Wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia January Makamba Kupitia Mtandao Wa Tweeter
Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam UDSM Akubaliwa ombi lake la kutaka kuonana na na Naibu Waziri Wa Mawasiliano Sayansi Na Teknolojia January Makamba alilomuomba kupitia mtandao wa tweeter Mwanafunzi Marwa Chacha aliyejitambulisha kuwa ni wa mwaka wa tatu kutoka UDSM alimuandikia ujumbe Naibu… Read More →