RUFAA DHIDI YA ZOMBE YATUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA YA RUFAA
MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna MsaidAizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu