Mama Kikwete atunukiwa tuzo ya heshima na UMATI.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea tuzo maalum kutoka UMATI iliyokabidhiwa kwake na Makamu Mwenyekiti wa UMATI Taifa Ndugu Charles Mugondo kwa kutambua mchango wake mkubwa hususan kwenye elimu ya mtoto wa kike hapa nchini. Tuzo hiyo alikabidhiwa wakati wa mkutano… Read More →