Raisi Kikwete Ahani Msiba Wa Trafik Aliegogwa Maeneo ya Bamaga.

Rais Kikwete sambamba na IGP Said Mwema Taarifa tulizozipata zinaeleza kuwa yule dereva aliyemgonga askari polisi wa usalama barabarani WP 2493 CPL-Elikiza Lokisa Nko na kutokomea, amekamatwa juzi usiku masaa kadhaa baada ya kupoteza uhai wa askari huyo maeneo ya Bamaga mapema jana mchana. Makamu wa Rais Dr.Gharib Bilal akisaini… Read More →