Tazama video ya Bilionea wa Kihindi alielizwa na Moto Ubungo.
Moto mkubwa uliozuka katika ghala ya kuhifadhia bidhaa kwenye jengo ka Millenium Businness Park Jijini Dar Es salaam ulisababisha wafanya biashara waliokua wakimiliki bidhaa hizo kuangua vilio. Bidhaa zilizoteketea ni pamoja na Mipira ya Baiskeli, Vyombo vya Udongo, chupa za chai, Sabuni za unga, pedi na vigae vya Sakafuni za… Read More →