Mke Wa Rais Wa Zamani Wa Marekani, Hillary Clinton Atangaza kugombea Uraisi Wa Marekani 2016
Mke wa aliyewahi kuwa Rais Wa Marekani Bill Clinton na aLiyekuwa Waziri Wa Mambo Ya Nje wa Marekani Hillary Clinton mwenye miaka 67 ameonyesha na kutangaza Nia ya kugombea Urais Wa Marekani 2016. Ametangaza Nia yake hiyo jana April 12 “Nitagombea Urais, Kila siku Warekani wanahitaji Mshindi, Na nahitaji huo… Read More →