Picha: kundi La P Square Lipo Studio Kutengeneza Albam yao Ya 6
Peter Amethibitisha kwa kuandika na kushare kupitia mitandao ya kijamii tweeter na Instagram
DAKTARI wa Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Dk. Gilbert Bubelwa, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho jana kwa njia ya simu, Msemaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Aminiel Algaeshi, alisema daktari… Read More →
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni. Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona,… Read More →
Askari mmoja wa kike Raia wa Kenya ‘Linda Okello’ amenusurika kupoteza kibarua chake kufuatia kivazi cha kubana alichokuwa amevaa wakati yupo kwenye majukumu ya kikazi kumchora sehemu kubwa ya maungo yake ikiwemo makalio kitendo kilichopelekea picha yake kusambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Facebook na Twitter. Baada… Read More →
Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Moja kati Ya Members wa Strength Of The Woman Maryam Pamoja Na Laura Maryam alisherehekea siku yake kwa kushiriki ibada maalum ya dua pamoja na watoto wa chuo, Mungu Huleta Barka pale tu unapokumbuka mambo makubwa kama haya wakati wa siku yako kubwa Inshaalah… Read More →
Waziri Mkuu Wa zamani wa Italy Silvio Berlusconi Amehukumiwa Kufanya kazi za Kijamii kwa kipindi cha mwaka Mmoja na mahakama ya Mji Wa Millan Waziri Huyo mwenye umri wa miaka 77 anayetajwa kuwa Billionaire Amehukumiwa Adhabu Hiyo baada ya kukutwa na hatia ya Kukwepa Kulipa Kodi mwaka jana ambayo ilitokana na… Read More →
Kumekuwa na matukio mengi tangu kuja kwa hizi simu za smart phone, sasa dunia imekubwa na tatizo la kukosa usingizi sababu ikitajwa kuwa ni matumizi ya mda mrefu ya sim hizo utafiti uliofanyika nchini uingereza umebaini ya kuwa katika kila watu kumi sita wanatatizo la kukosa usingii, hii insababishwa na… Read More →
Nimejikuta busy sana kama siku nne za nyuma, mtanisamehe sana kutokana na kuwa mzito ku updade website kwa siku hizo hii ni kutokana na kuwa katika hali ya kumkaribisha mtoto wetu mpya ndani ya familia yetu Babe Danish aliyezaliwa 31, March 2014 Ni mtoto Wa dada Yangu Nae Anaitwa Salma… Read More →
KWA WANAWAKE WENYE KUJIPENDA NA WENYE KWENDA NA WAKATI NA WALE WANAUME WENYE KUWAJALI WAPENZI WAO HABARI YA KUJIPENDELEA KWA SASA NI SEHEMU MOJA TU FOR YOU CLASSIC BOUTIQUE HAPO UTAKUWA WA KISASA KABISA KWASABABU VITU VINAVYOPATIKANA FOR YOU CLASSIC BOUTIQUE VITAKUWEKA KATIKA NGAZI ZA JUU KIMUONEKANO, MAPOCHI YA NGOZI… Read More →
Ni Katika muendelezo wa kampeni ya jishindie Nokia Asha na Daladala Beats,leo amepatikana mshindi wa pili,baada ya zawadi ya kwanza kunyakuliwa na Flavian Gamba kutoka Kiwalani Dar es Salaam wiki iliyopita Wiki hii mwana dada Nurat Nyupe kutoka Msasani Dar es Salaam ameweza kujishindia simu ya mkononi aina ya Nokia Asha… Read More →