Shamim Nsembo (8020 fashion) Suprise Birthday Dinner At Serena Hotel Dar Es Salaam
Mahaba niuwe kama msemo wa watoto wa mujinii Mr &Mr Nsembo wakifanya Yao Moja kati ya mwana mapinduzi wa Habari za mitindo mtandaoni kwa Tanzania Yetu, Shamim mwasha Mrs.Nsembo mmiliki wa blog ya 8020 Fashion Amesherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa Leo Tarehe 14 Jan akitimiza miaka 36 Hizi Ni Baadhi… Read More →