Salma Msangi
ZARI THE BOSS LADY BEACH PART AT LADGER PLAZA BAHARI BEACH DAR ES SALAAM THIS SUNDAY
KAA KABRIBU NA UWARIDI UNUKIE SASA NDO UJISOGEZ3 KARIBU NA BOSS LADY NAWE UWE MATAWI HAYO SIO KILA SIKU MKIRIKITI BAR BABADILIKO UTAYASKIA TU, JUMAPILI NDIO HIYOOO MAMBO KUJIACHIA HUKU TWAQNGALIA FASHION SHOW YA UKWELI TOKA KWA ALLY REMTULA, UPEPO WA BAHARI LADGER PLAZA SEHEMU NZURII NA HUU MSIMU WA… Read More →
Waziri Mkuu Pinda Aongoza Mazishi Ya Dkt.Mvungi Aliyezikwa Jana Juma Tatu Kijijini Kwao Kisangara
Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana (Jumatatu, Novemba 18, 2013) aliongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume na Mabadiliko ya Katiba na Kiongozi wa NCCR-Mageuzi Dkt. Sengomdo Mvungi yaliyofanyika katika kijiji cha Chanjale wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Pamoja na Waziri Mkuu aliyeongozana na mkewe, Mama Tunu, pia… Read More →
Bab Kubwa Magazine, Coming Soon.
Happy Birthday To My Best Friend, My Love, My Beautiful, My Partner In Crime, Junaithar Pemba
NIMEKUTANA NA MARAFIKI HAPA DUNIANI TANGU NIWE NA AKILI ZANGU TIMAMU LAKINI JUNAITHAR PEAMBA NI ZAIDI YA RAFIKI NI ZAIDI YA NDUGU NI ZAIDI YA MPENZI SIJUI NIMPE CHEO GANI. NAWEZA SEMA NI MIMI NDANI YAKE NA NI YEYE NDANI YANGU LABDA HAPO ITATOSHEA. NAMPENDA SANA NI RAFIKI WA UKWELI… Read More →
Omba Bahati Uzuri Majaaliwa, Kim Kardashian Pete Nyingine Kidoleni Ni Baada Ya Kuachika.
Mrembo anayesumbua sana Duniani Hivi sasa na mwenye Drama za kutosha Baby mama wa mwanamuziki Kanye West Na mama mtoto wa North West KIM KARDASHIAN amevishwa tena pete ya uchumba na baba mtoto wake huyo. Kama ataolewa hii itakuwa ni Mara ya pili kwa mrembo huyo kupigwa ndoa, mara ya… Read More →
Video:CNN Waionyesha Video Jinsi Shambulio la West Gate lilivyoanza
Japo haikuwa salama kwa watoto kutazama CNN waliomba Radhi kwa kuionyesha video hiyo ili kuwaonyesha walimwengu uhalisia wa shambulio hilo la kikatili lilivyotokea. Pamoja na kuwauwa moja kwa moja watu waliokuwemo ndani ya jengo hilo kwa kutumia mitutu ya bunduki lakini walionekana pia kuwaachia wengine akiwemo mama na watoto wake… Read More →
Video: MusicXpress Interview With Ude Ude
TAMASHA KUBWA LA INJILI LAJA
Picha: KHAULA’s BIRTHDAY BASH AT ESCAPE ONE MIKOCHENI
JANA PALE ESCAPE ONE MTOTO KHAULA KIPENZI CHA JUNAITHAR PEMBA ALISHEREHEKEA SIKUKU YAKE YA KUZALIWA ILIYOHUDHURIWA NA WATOTO WENZIE WENGII WAKUSOMA PAMOJA MAJIRANI NDUGU JAMAA NA MARAFIKI AKITIMIZA MIAKA 8 ZAWADI KUBWA ZILIKUWA CAKE ZILIZOLETWA NA MARAFIKI WA PENZI WA KHAULA NA MAMA KHAULA JUNAITHAR PEMBA KIPENZI CHA WENGI HIZI… Read More →