Salma Msangi
Kim Kardashian Ashika Mkia list Ya Wanawake Mastar Walikwenda Na Fashion Mwaka 2014 Muone Aliyeongoza
Muaimbaji Na Mwigizaji Jennifer Lopez, Duchess of Cambridge Kate Middleton Na Muimbaji Beyonce wametajwa wadada waliokwenda zaidi na fashion kwa mwaka 2014 Wakati Kim K Akishika Mkia katika List Hiyo Utafiti Huo wa kuwapata washindi hao ulihusisha wanawake 1,000 wa marekani Ulifanyika Online kwa kuwashirikisha online Subscription Service LeTote.com List Nzima… Read More →
Picha:Just Got Paid Ilivyoukamilisha Mwaka
Party ya Just Got Paid ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ikiwa ni ya mwisho kwa mwaka huu na kuwakutanisha wakazi mbalimbali wa jiji la Dar waliokutana kufurahia wikiendi ya mwisho wa mwezi. Paty hiyo inayodhaminiwa na bia ya Castle Lite ilitawaliwa na burudani ya muziki na vinywaji huku waliohudhuria wakipata… Read More →
Sasa NMB Kuwafikia Wateja Wake Mpaka Vijijini Kupitia NMB Wakala.
Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipokwaajili ya kuanza viagra vs. levitra kutoa huduma za clomid and ovulation kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima. Agree I thick least basically… Read More →
Mapenzi Yanapogeuka Sumu, Baada Ya ndoa Kuvunjika Mume Wa Halle Berry Ambadili Mtoto Wao Rangi Na Nywele Aonekane Mzungu
Muigizaji maarufu wa Marekani Halle Berry, ameghadhabishwa mno na hatua ya aliyekuwa mumewe juu ya kumbadilisha mwanawe rangi ya ngozi pamoja na kuweka kemikali kwenye nywele zake ili ziwe singa. Muigizaji huyo alikasirishwa na jambo hilo kwani mwanawe mwenye umri wa miaka sita Nahla Berry ambaye kawaida anakuwa na nywele… Read More →
Utafiti:Mwanaume Anayefanya Mapenzi Na Wanawake Zaidi Ya 20 Katika Maisha Yake Ana Uwezekano Mdogo Wa kupata Saratani Ya Tezi Dume, Huku Wale Waliofanya Na Wanawake Bikira Wana Hatari Mara Mbili Zaidi
Utafiti mpya uliofanyika umebainisha kuwa mwanaume anayefanya mapenzi na wanawake zaidi ya 20 katika maisha yake ana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume. Utafiti huo pia ulibainisha kuwa wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kufanya mapenzi na wanawake wengi mabikra wapo katika hatari ya kupata saratani… Read More →
Cciza Williams Aibuka Mshindi Wa Hennessy Artistry Finale, Sasa Kuungana Na Wizkid Na 2Face Nigeria
Cciza Williams ndie mshindi wa shindano la Hennessy Artistry Lililofanyika Ijumaa iliyopita 14th nov katika kiota cha burudani News Cafe Masaki Jijini Dar Es Salaam Cciza amepata nafasi ya kwenda Nigeria kushuhudia Hennessy Artistry AFRICA Grand Fenale ambapo ataungana na mastar wakubwa wa muziki Nigeria Africa na Dunia WizKid na… Read More →
Picha: Lite Up The Weekend Ilivyohitimishwa Na Yacht Party
Wikiendi iliyopita ilishuhudia kilele cha kampeni ya Lite Up The Weekend ambayo iliyoendeshwa na bia ya Castle Lite huku ikihusisha wanywaji wa bia hiyo waliopata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kwa kutuma namba za ndani ya kizibo. Katika siku hiyo washindi wa droo kubwa walipata nafasi ya kukutana na kujumuika… Read More →
Pata Muonekano Siku Ya Harusi Yako Na Pinacolada Studio Fix, Ofa Maalum Kwa Wateja Wa Magauni Ya Harusi
KAMA WEWE NI BIBI HARUSI MTARAJIWA NA UNAPATA MAWAZO NINI CHA KUFANYA KATIKA SIKU YAKO HIYO KUBWA AMBAYO NI NADRA SANA KUTOKEA MARA MBILI… USIWAZE PINACOLADA STUDIO FIX NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA WATAKUPA HUDUMA ZOTE KUHUSU HARUSI YAKO KUANZIA GAUNI, NYWELE, VIATU, MAPAMBO, MAKEUPSM KUCHA NA KILA KINACHOHUSU… Read More →
Pre-Party Picha: Mtoto Mzuri Tj It Is Her Birthday Today!! Congrats Tj.
Mtangazaji wa Magic FM Dar es salaam, kipindi cha Dala Dala Beats kipindi kinachosikika kila siku za Jumatatu mpaka Ijumaa saa 7 mpaka 10 jioni, Leo Ijumaa 17 Oktoba 2014 anaadhimisha miaka kadhaa toka alipozaliwa, Salmamsangi.com inamtakia Tj Maisha Mema na yenye mafanikio katika maisha yake!! The Word!! Keep Doing… Read More →