Miongoni Mwa Waliofanyonshwa Ngono Na Waganga Feki Ili Wapate Watoto, Wake Za Vigogo Nao Wamo
Kamanda Kiondo akizidi kuonyesha vifaa vilivyokuwa vikitumiwa na waganga hao wa kienyeji. IMEBAINIKA kuwa miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ili kupata ujauzito baada ya kukaa muda mrefu bila watoto, wamo wake wa vigogo Bongo, Uwazi limechimba. Uchunguzi uliofanywa na waandishi wetu kwa baadhi… Read More →