Hicho ni kiswahili tu mwyieeknti uongozi bora…utawala bora vinatafsiriwa na matendo yako. Unaweza jiita kiongozi bora na bado ukaharibu tu. Lakini pia kuwa kiongozi maana nyingine unawaongoza watu njia kwa kukabidhiwa mamlaka na muongozo ambao unatakiwa kufatwa na kinyume chake ni adhabu watu wanaripoti kwako huko pia ni kuwatawala watu
2 Comments
ninice song ma boy chid benz