MUANDISHI MKONGWE WA VITABU WA NCHINI NIGERIA CHINUA ACHEBE ALIEFARIKI TANGU MWEZI MARCH MWAKA HUU ANAZIKWA LEO NYUMBANI KWAO ANAMBRA
MWILI WA MAREHEMU CHINUA ACHEBE UMERUDISHWA LEO NCHINI NIGERIA KUTOKA BOSTON NCHINI MAREKANI ALIPOKUA ANAISHI TANGU MWAKA 1990
CHINUA ACHEBE AMEFARIKI KATIKA UMRI WA MIAKA 82
IFAHAMU HISTORIA YAKE KWA UFUPI
- Born in 1930, 30 years before Nigeria’s independence
- First novel Things Fall Apart, published in 1958, has sold 10 million copies
- Wrote about the effects of colonialism and corruption
- Nelson Mandela called him “the writer in whose company the prison walls came down”
- Involved in a road accident in 1990 which left him partially paralysed
- Refused Nigerian honours
His 1958 debut novel, Things Fall Apart, which dealt with the impact of colonialism in Africa, has sold more than 10 million copies.