Ukiwa ni mwaka wa 17 kwa Channel O toka ilipoanzisha sehemu ambayo wasanii wa Kiafrika wanaweza kuonyesha uwezo wao kwa dunia kupitia tuzo za CHOMVA, wametangaza washriki na vipengele kwa msimu mwingine wa tuzo hizo kwa mwaka 2014 siku ya jana, Mwaka huu itafanyika Jumamosi 29 Novemba 2014 ndani ya Nasrec xpo Centre kule Soweto Afrika ya Kusini.
Na kama kawa mkali kutoka Nigeria Davido na msanii mpya wa Hip Hop kutoka Afrika ya kusini anayeitwa Cassper Nyovest akiwa ametajwa mara 5, Davido yeye ametajwa mara 4 katika vipengele 14 na ngoma yake ya “Aye”.
Mkali kutoka Tanzania “Number one” song stress ambae anatakiwa aseme shikamo kwa wimbo wa Number one wimbo ambao umemtangaza sana kimataifa hilo halina ubish, Diamond yuko katika vipengele vinne anagombea tuzo ya Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro Pop, Most Gifted Video Of The Year na Most Gifted East.
Kundi la Mavins pia ni washiriki wakubwa katika tuzo hizo, wengine ni Don Jazzy, Tiwa Savage na Dr SID, Wasanii wengine kutoka Nigeria wanaogombania tuzo hizo ni pamoja na mkali wa wimbo wa “African queen” 2face, Wizkid, Olamide, Iyanya, P.Square, Flavor, Kcee, Niyola, Jesse Jagz, Orezi, Burna Boy na wasanii chipukizi kama Patoranking na Seyi Shay.
Na hii ni list nzima ya wasanii wanaogombea tuzo na vipengele vyao.
Most Gifted Male
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Davido – Aye
Riky Rick Ft Okmalumkoolkat – Amantombazane
K.O. Ft Kid X – Caracara
Sarkodie – Illuminati
Most Gifted Female
Thembi Seete – Thuntsha Lerole
Bucie Ft Heavy K – Easy To Love
Lizha James Ft Uhuru – Quem Ti Mandou
Tiwa Savage Ft Don Jazzy – Eminado
Seyi Shay – Irawo
Most Gifted Newcomer
Dream Team Ft Tamarsha, Aka & Big Nuz – Tsekede
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Emmy Gee Ft Ab Crazy & Dj Dimplez – Rands And Nairas
Diamond – Number One
Patoranking – Girlie O (Remix)
Most Gifted Duo, Group Or Featuring
Uhuru Ft Oskido & Professor – Y-Tjukutja
Dj Clock Ft Beatenberg – Pluto (I Remember)
R2bees Ft Wizkid – Slow Down
K.O. Ft Kid X – Caracara
Kcee Ft Wizkid – Pull Over
Most Gifted Dance
Uhuru Ft Oskido & Professor – Y-Tjukutja
Davido – Skelewu
Dj Clock Ft Beatenberg – Pluto (I Remember)
P Square – Personally
Busiswa Ft Various – Ngoku
Most Gifted Ragga Dancehall
Buffalo Souljah – Basawine
Orezi – Rihanna
Jesse Jagz Feat Wizkid – Bad Girl
Patoranking – Girlie O (Remix)
Shatta Wale – Everybody Likes My Ting
Most Gifted Afro Pop
Davido – Aye
Mafikizolo Ft May D – Happiness
Diamond – Number One
Flavour – Ada Ada
Iyanya – Jombolo
Most Gifted Kwaito
Uhuru Ft Oskido & Professor – Y-Tjukutja
Character Ft Mono T & Oskido – Inxeba Lendoda
Big Nuz Ft Khaya Mthethwa – Incwadi Yothando
Dj Vetkuk Vs Mahoota – Khaba Lenja
Dj Cndo – Yamnandi Into
Most Gifted R&B
2face Ft T-Pain – Rainbow
Jimmy Nevis Ft Kwesta – Balloon
Gb Collective Ft Brian Temba & Reason – Chocolate Vanilla
Donald – Crazy But Amazing
Niyola – Toh Bad
Most Gifted Hip Hop
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Khuli Chana Ft Da L.E.S & Magesh Hape Le Hape 2.1
Phyno – Alobam
K.O. Ft Kid X – Caracara
Aka – Congratulate
Most Gifted Southern
Dj Clock Ft Beatenberg – Pluto (I Remember)
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Aka – Congratulate
Zeus – Psych
K.O. Ft Kid X – Caracara
Most Gifted West
R2bees Ft Wizkid – Slow Down
Davido – Aye
Burna Boy Ft D’banj – Won Da Mo
Olamide – Turn Up
Dr Sid Ft Don Jazzy – Surulere
Most Gifted East
Sauti Sol – Nshike
Diamond – Number One
Navio – No Holding Back
Eddy Kenzo – Sitya Loss
Elani – Kookoo
Most Gifted Video Of The Year
Emmy Gee Ft Ab Crazy & Dj Dimplez Rands And Nairas
Davido – Aye
K.O. Ft Kid X – Caracara
Burna Boy – Run My Race
Tiwa Savage Ft Don Jazzy – Eminado
Dr Sid Ft Don Jazzy – Surulere
Riky Rick Ft Okmalumkoolkat – Amantombazane
Cassper Nyovest – Doc Shebeleza
Sarkodie – Illuminati
Dj Clock Ft Beatenberg – Pluto (I Remember)
Aka – Congratulate
Diamond – Number One
Ukitaka kumpigia kura msanii wako unaompenda, ofcourse kwa Tanzania tunampigia Diamond tembelea www.channelo.tv.
CHOMVA 2014 Hawa Ndio Washiriki!! Diamond Atajwa Mara 4
Previous Story
RIP Bibi Wa Fashion Police Joan Rivers
Related Posts
-
-
Tatizo ni Wema Au ni vyombo vya Habari? Eti Picha hii nayo yawa Gumzo?
-
Marc Antony Aoa Mwanamitindo, Nibaada ya kuachana na Jlo, Hii Ni Ndoa Yake Ya Tatu
-
“Muziki Wa Uganda Ni Mkubwa Kuliko Wa Kenya” Amani
-
Baada ya kumkana mwanaume aliyejitangaza kuwa ni baba yake mzazi kupitia Tweeter Mshindi wa Big Brother the Chase, Mama yake mzazi Dilish Athibitisha kuwa ndio baba Halisi
-
Video: Jennifer Lopez – Same Girl
-
Kitumbo Cha Kim Kardashian Kinazidi Kukuwa