
Serekali Ya Canada Imemzuia Mwanamuzki Chris Brown kuingia nchini humo masaa mawili kabla ya show ya tour yake iliyokuwa ifanyike katika miji miwili nchini humo jana
Chris Alitumia ukurasa Weke wa tweeter kutoa taarifa ya kutokuwepo katika show hiyo kwa upole wa hali ya juu
Alitweet “Kwa Bahati mbaya sitaweza kushiriki katika show mbele ya washabiki wangu ambao tayari wameshanunu Ticket Zao Montreal na Toronto. Serekali ya canada haijaniruhusu kuingia nchini humo,nitarudi tena msimu Huu wa summer na nimatumaini yangu nitawaona mashabiki zangu wa Canada”
Chris alitakiwa ku perform katika miji ya Montreal jana usiku na Toronto usiku wa leo . Na mashabiki walishanunua ticket tayari kwa show hiyo,Sio Sawa
Sasa swala hilo limeleta mjadala mpaka mashabiki kudai kuwa basi na mwanamuziki Justin Bieber ambaye ni m Canadian anayeishi na kufanya shughuli zake za kimuziki nchini marekani asiruhusiwe na serekali ya ya marekani kuwepo nchini humo? hii ni kwa mujibu wa mtandao wa TMZ,
