Cristiano Ronald Ndio Mwanasoka Bora wa mwaka 2013 baada ya kumzidi Mesi aliyekuwa anategemewa zaidi kuchukua
ni miaka minne tango ronald Achukue kikombe hicho
Ronald alionekana kulia zaidi mpaka alishindwa kuzungumza
Kashifa wakati mwingine husaidia kukuonyesha wewe ni mtu wa aina gani ndivyo ilivyotokea kwa Ronald ni baada ya Rais wa Fifa duniani sepp Blatter kumkebehi Cristiano wakati fulani ya kwamba hana lolote na kwamba kazi yake ni kujitazama tu kwenye kioo Jambo Ambalo Cristiano alisema sio issue tena kwasababu walisha yamaliza baada ya kuzungumza kwenye sim na rais huyo, Ronald Aliyasema hayo wakati wa kikao na waandishi wa Habari kabla ya hafla ya Tunzo
Hata hivyo Cristiano amemsamehe Rais Huyo kwa kauli yake
MChumba Wa Cristiano Ronald
Katika sherehe hizo Cristiano aliongozana na familia yake akiwemo mama yake mzazi, Mtoto wake wa kiume na Mchumba wake kama anavyoonekana katika picha
Ronaldo alifunga Mabao 69 kwa jumla wakati anachezea Real Madrid na Portugal kwa mwaka jana hata hivyo ameiwezesha Timu yake ya Portugal kuingia katika mashindano ya kombe la dunia yanayotarajia kufanyika huko Brazil