Mwanamitindo Mtanzania Flavianna Matata anayefanya vizuri kwenye tasnia ya mitindo huko marekani maraa hii ametoka katika Cover ya jarida maarufu nchini la nchini Ufaransa linaloitwa French Magazine
kutokana na maelezo ya Flavianna wakati amepost picha hiyo yanaoinyesha hata yeye mwenyewe kuwa surprise kutokana na kutokuwa aware kuwa shooting aliofanya ilikuwa pia ni kwa ajili ya Cover ya jarida hilo