Hii ni noma kweli!! T.I na Flloyd Mayweather waliingia katika ugomvi wa mtaani baada ya T.I kuchukia kwamba mke wake alikuwa akitoka na Mayweather, Mayweathr alimuudhi zaidi T.I baada ya kumwambia “Mfunge malaya wako”
Baadae Mayweather akakana kwamba ameshatembea na mke wa T.I Tiny lakini wakati wa tuzo za BET, Tiny alimtukana Flloyd Myweather kwenye red carpet pale alipojaribu kumsogelea. Flloyd akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kupromoti pambano lake linalokuja. shabiki aliuliza “Vipi kuhusu T.I? Flloyd alijibu “Vipi kuhus malaya wake, nimetembea nae, Mayweather anakwenda kufanya kinachotakiwa kufanyika” Alisema Mayweather.
Baadae akaenda instagram akakana hakusema hivyo….Check jinsi alivyobisha hapo chini kwenye posy yake ya instagram: