Habari njema kuhusiana na msichana Fatma inaesemaekena ni mtanzania mwenye Passport ya Oman kutoka kwa mdau Instagram sehemu ambapo kumekua na mjadala mkubwa kuhusiana na tukio hili mara baada ya kusambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na addabu itakayomfika
na wengi kuhoji kama kuna uwezekano wa kusaidia ili kumuoko msichana huyu mdogo ambaye angekuja kuwa mtu muhimu katika taifa lake hapo baadaye
Hivi ndivyo msichana anayesema kumfahamu alivyoandika
2 Comments
Chamsingi huyu muandishi aache kumpa mtu utaifa ambao si wake kama anakuwapo Dar sana si tatizo maana oman inauhusiano mkubwa sana na tanzania hasa maeneo ya ukanda wa pwani ambao ilikua ni sehemu ya koloni lake. Huyu ni raia wa Oman na passport yake imethibitisha punguza kuvumisha mtanzania mpe mtu haki yake na usichafue jina la nchi yako muandishi angalia unachokiandika.
mohamed ahmed