
NIMEKUTANA NA MARAFIKI HAPA DUNIANI TANGU NIWE NA AKILI ZANGU TIMAMU LAKINI JUNAITHAR PEAMBA NI ZAIDI YA RAFIKI NI ZAIDI YA NDUGU NI ZAIDI YA MPENZI SIJUI NIMPE CHEO GANI. NAWEZA SEMA NI MIMI NDANI YAKE NA NI YEYE NDANI YANGU LABDA HAPO ITATOSHEA. NAMPENDA SANA NI RAFIKI WA UKWELI RAFIKI WA SHIDA NA RAHA RAFIKI MWENYE KUHESHIMU HISIA ZA MWENZAKE KUTOA SUPPORT KWA ASILIMIA MIA MOJA KWA RAFIKI HANA KINYONGO SI MNAFIKI UKIKOSEA ATAKUAMBIA NA UKIMKOSEA ATAKUAMBIA HAPO HAPO MMALIZANE HANA KUWEKA JAMBO ROHONI LIKAMPUNGUZIA UMRI, ANAPENDA WATU ANAPENDA MARAFIKI JAPO WATU WAMEKUWA WAKIMFANYIA UBAYA MARAFIKI WAKIMSALITI PAMOJA NA WEMA WAKE WOTE KWAO LAKINI PAMOJA NA YOTE HAJAWAHI KUBADILIKA MAANA ROHO NZURI NDIO MAJAALIWA YAKE. ENDELEA NA MOYO WAKO HUO HUO MPENZI WANGU MUNGU TU NDO ATAKULIPIA TENDA WEMA UENDE USIJIKWAZE KWA KUWALIPA UBAYA KWA MAANA SI KIPAJI CHAKO NAKUPENDA SANA JUNAITHAR NA NAMUOMBA MUNGU AKUJAALIE MAISHA MAREFU YA FURAHA WAKATI WOTE NA IN SHAA ALLAH MWENYEZIMUNGU ATULOINDE KATIKA URAFIKI WETU NA MAHASIDI HAPPY BIRTHDAY MY LOVE
