
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mume Wangu Mpenzi Abbas Mziray,
Nachukua nafasi hii kumtakia kila la kheri katika maisha yake ,
Namuombea Kwa Mw/Mungu amtimizie ndoto zake zote,
Namshukuru kwa kunipenda kunisupport kwa kilaninachokifanya.
Namshukuru kwa kunipa Heshima ya kuwa Mke na Kunifanya nifurahie ndoa Yangu.
