Jana ndio ilikua siku ya kuupumzisha mwili wa marehemu Susan Goldie Harvey katika nyumba yake ya milele.
Mazishi hayo ambayo yalikua ya kifamilia zaidi yalifanyika sehemu inaitwa Vaults and Gardens Cenetery huko Ikoyi Lagos.
Na haya ndio maneno ya mwisho ya Mume wa Goldie Andrew Harvey’s kwa mke wake
” Susan you walked into my life, it was like God sent you as a fresh breath. I still remember your response to my first love message. You said ‘Love killed romeo, sent Diana to an early grave and killed Jack on the Titanic. Forget about love, just have friendship and live long.Overtime our love grew to a depth I have never known. You were the best years of my life, your smile, your desire to live your dream.”
Taarifa za Goldie kufariki dunia ziliripotiwa hivi karibuni baada ya Goldie kurejea toka marekani alipokua amehudhuria tuzo na Grammy
Goldie alifariki dunia kutokana na maradhi ya shinikizo la damu na moyo.
Goldie alikua mwanamuziki anaekuja kwa kasi sana Nchini Nigera lakini pia Afrika kwa ujumla na pia alikua muwakilishi wa mashindano ya Big Brother Star game.
MY HER SOUL REST IN PIECE