Nick Cannon atampa talaka Mariah Carey, ndio na ameshambadilisha kuwa Yesu kristo.
Nick Cannon alikuwa sehemu inaitwa Payhouse huko Hollywood siku ya Alhamisi usiku akisherekea siku yake ya kuzaliwa, kama inavyojulikana watu maarufu wanavyofanya, Nick alivua shati lake na jambo ambalo alikutegemewa ilionekana tattoo mpya.
Ni ngumu kutoa maelezo kuhusiana na picha hiyo, lakini chanzo cha Nick kinasema tattoo hiyoo inamuonyesha Yesu akiwa msalabani na mabawa ya malaika mwishoni wa msalaba.
Katika sehemu hiyo katika chumba cha kuvutia sigara Amber Rose alikuwepo.
Siku chache zilizopita Amber Rose amekuwa katika mgogoro na Wiz Khalifa, wote wakilalamikiana kwamba kila mmoja anamdanganya mwenzake.
Baadae Amber Rose akasema kwamba stories ambazo zimetapakaa ni uongo,, wala hawana ishu yeyote na akatetea penzi lao.
Amber Rose kwa sasa anasimamiwa na Nick Cannon akiwa ni meneja wake.