Jana katika pita pita zangu nikakutana na warembo wanaotarajia kushiriki miss IFM wakijifua katika chimbo moja hivi na kusema kua taarifa za mashindano haya watazitoa Rasmi Ijumaa.
Warembo niliowakuta wakijinoa chini ya Mkufunzi wao ni tisa tu lakini nilihabarishwa kuwa warembo hao wapo kumi.