Helicopter Ya Mizigo ya UN M1-8 ikiwa na watu watatu imeanguka jana August 26th huko Bentiu, eneo lenye machafuko South Sudan,
ofisi ndogo ya eneo hilo imesema imesema helicopter hiyo ilifaa kutunguliwa wakati wa mapigano
Watu wa watatu waliokuwemo ndani ya Helicopter hiyo walifariki dunia .
“Serekali ya Sudan Kusini inasikitihswa sana na vifo vya watu waliojitolea maisha yao kutoa huduma za kijamii ” Ofisi ndogo ya Sudan Kusini ilisema