
Swala la mapenzi na kucheza mpira imekuwa ni vitu ambavyo vinaleta utata, Timu nyingi katika kombe la dunia zimekataza timu zao kufanya mapenzi inaaminika kwamba wakifanya itapunguza uwezo wa mchezaji wengine wakikubali wakiamini kwamba inamfanya mchezaji asikie vizuri akili inatulia kwa hiyo inamfanya afanye vizuri.
Wengine wamekubali lakini kwa masharti Fulani, kufanya mapenzi kwa wachezaji wao endapo tu atakuwa ni mke wa mchezaji, girlfriend hairuhusiwi, kwa hiyo huo ni uhakika kwamba wake wa wachezaji hao wana uhakika kwamba waume zao hawatawapata tena wale mabinti wazuuuuuri Wa Kibrazil.
Ghana wao wamekataza kabisa kufanya mapenzi kwa wachezaji wao iwe mke au girlfriend..
Kwa Ufaransa wao wameruhusiwa kufanya mapenzi ili mradi isiwe usiku mzima, na Wachezaji wa Brazil wameruhusiwa lakini tu ndio isiwe ile ya kusimamia kucha acrobatic kibao…..Lol kama (watakuwa wanawaona).
Hizi Ndizo Timu Zilizokubaliwa Kufanya mapenzi
Nigeria(Sex, but only in wedlock. )
Germany
Brazil
Argentina
Spain
USA
Australia,
Italy
Netherlands
Switzerland
Uruguay
England
France
Hizi Ni Timu Zilizokatazwa
Cameroon
Ghana
Russia
Chile
Mexico
Bosnia
Herzegovina
South Korea
Hizi Ni Zile Ambazo Haijulikani Kama Zimeruhusiwa Au La
Netherlands
Côte d’Ivoire
Greece
Japan
Costa Rica
Ecuador
Switzerland
Iran
Portugal
Algeria
Belgium
