
Ameshare kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Huku Akiwatakia Followers Wake Jumapili takatifu na kuwataarifu kuwa Atakuwa katika nyumba ya ibada kuabudu kama iliyokawida
haya ndio mambo tunataka kuona ili nasi tuchakarike katika swala zima la utafutaji bila kuchagua kazi
pamoja na kwamba ni Mchekeshaji kupitia kipindi cha luninga Ya Taifa TBC lakini masanja mkandamizaji pia ni muimbaji wa nyimbo a injili na Mkulima Mkubwa Wa Mpunga Na Mananasi
Masanja Mkandamizaji Akiwa nje Ya Nyumba Yake pembeni ya Gari Lake maeneo ya Tabata Jijini Dar es Salaam
