Kikundi cha kigaidi duniani cha ISIS ukweli ni kwamba kinaogopa nchi moja tu katika nchi zote zinazokipinga kikundi hicho, kutokana na muaandishi wa habari aliishi nao akiwa mmoja wao wa wapiganaji wa Islamic State alimwambia Jürgen Todenhöfer, (75) Israel ndiyo nchi inayoofiwa na kundi hilo.
Bwana Todenhöfer ambaye alitumia siku 10 Syria 2010 aliiambia Jewish News:
“Wa adhani wanaweza kuyashinda majeshi ya Marekani na Uingereza, ambao wanasema hawana uzoefu katika mbinu za kigaidi na miji yao, lqkini wanajua Israel wana nguvu mbali ya kupigana kwenye majiji ya guerrilla au magaidi, hawawaogopi Wamarekani wala Waingereza , wanawaogopa Waisrael na waliniambia jeshi la Israel ni hatari “