Kikundi la Muslim brotherhood kilichopigwa marufuku nchini Misri wamechoma moto majengo ya vyuo vikuu viwili katika mji mkuu wa Cairo..,
watu watatu wameripotiwa kupoteza maisha wakati polisi walipokuwa wakipambana na wafuasi wa Muslim brotherhood katika eneo la Mlinya ya kusini na Nile Delta.
Mamlaka ya nchini Misri wamekuwa wakiwasaka kundi hilo la Muslim Brotherhood tangu mwezi Julai,wakati aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri ambaye ni mfuasi wa kundi hilo ambapo aliondolewa madarakani na jeshi la nchi hiyo.