Kim kardashian Ameamua kutumia siku ya kuzaliwa ya Mume wake Kanye West Kumshukuru kwa kuweza kumbadilisha maisha yake tangu walipoanza kuwa na uhusiano Kim Ameandika Ujumbe mzuri wa kushukuru ambao ni mara chache sana binadamu kukubali na kuonyesha shukrani kama alivyofanya kim Kim Ameandika kupitia ukurasa wake wa Tweeter kama unavyoonekana hapo chini Cake Ya Birthday Ya Kanye West