
Iggy Azalea aliamua kutoka twitter ili apate muda wa kupumzisha akili yake ilikuwa mapema mwaka huu,wikiendi iliyoisha Erykah Badu alitupa bonge moja ya dongo kwa mwanadada huyo anayetokea pande za Australia, Erykah Badu akiwa host wa tamasha la 2015 la Soul train Awards, aliigiza kama anapokea simu nakuuliza anaongea na nani? Akakuta ni Igy akasema “Yeah, hey.Oh.no,no,no,no,you can come, cause what you doing is definitetly not rap”
Rapper huyo aliye chini ya lebo ya Grand Hustle, Iggy Azalea aliamua kurudi kwenye timeline yake kumjibu Badu…..Check tweets alizotweet Iggy baada ya kupotea tweeter kwa muda sasa, pia ameongelea updates zake kuhusu muziki…
