Hizi ni nyimbo za Hip Hop ambazo zimeongoza katika chart Wiki ya kuanzia 20 Julai 14, akiwemo Drake, Eminem, Wiz Khalifa na wengine. Iggy Azalea na ngoma yake ya “Fancy” imeshika namba 1 kwa wiki 28. Drake na single yake ya Catch Up yuko namba 6 na kuuza copies 40,000 ilipotoka tu.
Single ya Black Widow ya Iggy ft Rita Ora imeshika nafasi ya 3 na kuwa na asilimia 42 katika mauzo, Baada ya wiki 13 kwenye list na wiki tatu kwa kupanda juu, Collaboration ya Azalea na Rita Ora iliuza copies 58,753 wiki iliyoisha.
Nyimbo mbili kenye Top 3, Iggy Azalea na ngoma ya Work imeshuka hadi nafasi ya 19 kwa mauzo ya copies 22,394 ikiwa na jumla ya mauzo ya 478, 253. Change Your life ya Iggy feat T.I iliingia kwenye chart ya top 100 lakini ilishuka nafasi saba kwenye wiki iliyoisha.
Ingawa ngoma ya Catch Up ya Drake ilitoka mapema Juni ngoma hiyo haikuwa inapatikana sehemu mbalimbali mfano itunes mpaka katikati ya mwezi huu, ngoma iliuza copies 38,996 katika wiki yake ya kwanza sababu iliyofanya kuwa namba 6.
Pia Drake akiwa na Lil Wayne na ngoma ya “Believe Me” bado inapanda na iliuza copies 34,152 katika wiki 8 kwenye chart, Ngoma mpya ya Drake iliyoingia kenye Top 100 ni “Trophies” “Who do you love” na “Started from the bottom” zinaendelea kushika chart.
Wakati huo huo repa huyo na single ya “Nothing was the same” ilipotoka ikaingia kwenye chart, albamu katika chart za mauzo ilishika namba 98 kutoka namba 96 wiki iliyoisha na 83 wiki moja kabla.
Wiz Khalifa na single ya “We Dem Boyz” imeshika namba 8 wiki iliyoisha ikiongezeka asilimia 66 katika mauzo, imeuza copies 366,646 kwenye wiki 23 katika soko.Wakti huo huo amaeshika nafasi ya 20 na namba 21 akiwa na Ty Dolla Sign au Nah na project yake ya Pat na single ya Blacc Hollywood. Hiyo ni single ya pili “KK” ilipotoka iliuza copies 21,337.
Hizi ni Top 10 ya Hip Hop Singles Sales: Wiki ya tarehe 20 Julai 2014
#1. Iggy Azalea f. Charli XCX – “Fancy” – 154,541 (3,012,086)
#2. Jason Derulo f. Snoop Dogg – “Wiggle” – 77,101 (1,345,599)
#3. Iggy Azalea f. Rita Ora – “Black Widow” 58,753 (191,938)
#4. John Legend – “All Of Me” – 58,522 (4,493,696)
#5. Pharrell Williams – “Happy” – 56,629 (5,921,362)
#6. Drake – “0 To 100/The Catch Up” – 38,996 (38,996)
#7. Pharrell Williams – “Come Get It Bae” – 38,796 (410,517)
#8. Wiz Khalifa – “We Dem Boyz” – 37,654 (366,646)
#9. Jeremih f. YG – “Don’t Tell ‘Em” – 34,552 (147,854)
#10. Lil Wayne f. Drake – “Believe Me” – 34,152 (440,144)