Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 wamejeruhiwa baada ya basi la Bunda kugonga kichwa cha treni katika makutano ya reli na barabara wilayani Manyoni..
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo mkuuu wa wilaya ya manyoni bi Fatuma Toufiq amesema ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi saa mbili katika makutano ya barabara na reli ambapo gari hilo lilikuwa linatokea Dodoma kuelekea Mwanza