
kumbe ile video iliyomuonyesha Jay Z akishambuliwa na shemeji yake Solange ilinunuliwa bei kiasi hiki?
unaambiwa ilikuwa kwenye mnada wa nani ataweza kuinunua lakini mtandao wa TMZ ukashinda kwa kuinunua kwa kiasi cha kama ml.400 kwa video ya sukunde ambazo hazijazidi 58 tu
hapa ndio uone kuna watu wanaushawishi jamani duniani
Majamaa waliovujisha Video hiyo kutoka hotel tukio lilipotokea wapo matatani maana uchunguzi unafanyika kumtambua muhusika coz ni kinyume cha sheria
hata hivyo TMZ walifanya biashara poa maana tangu waiweke video hiyo mtandaoni imehsatazamwa zaidi a mara milioni 9
