
Shirika La ndege la malaysia limesema sasa linaweza kuthibitisha kuwa ndege yao iliyopotea MH 370 ilizama baharini na hakuna manusura
Waziri Mkuu wa nchi Hiyo Najib razak Amesema wachunguzi wa uingereza wamesema mwisho wa eneo ndege hiyo ilipoishia ni kati kati ya bahari ya Hindi magharibi mwa perth
Wanafamilia wa Abiria waliokuwemo ndani ya ndege hiyo wamepewa ujumbe huo wa kutokua tena na matumaini ya ndugu zao
Malaysia Airlines MH 370 ilipotea march 3 ikiwa na Abiria 239 Wakati inatokea Kuala Lumpur kwenda Beijing China
