
Wakati tunajikakamua na vi Key Holder vi lesso vya Kariakoo au Kama umejitahidi sanaa basi Peni au Vikombe mambo ni tofauti kwa binti wa Rais Wa Nageria Goodluck Jonathan , Faith Ambapo wakati wa harusi yake iliyofanyika jumamosi iliyopita zawadi zilizotolewa kwa waalikwa Ni Simu Aina Ya Iphone zenye Rangi Ya Gold na majina ya Maharusi Faith & Goodwill
