
Jamaa mmoja huko Nigeria alivamia Benki huko Nigeria Benki inayofahamika kama GTB akiamini kwamba pete aliyovaa asingeweza kuonekana kabisa, akavamia bag la mkwanja kwenye counter ya benki ili asepe kilichofuata ni kichapo heavy kutoka kwa askari wanaolinda benki hiyo.
Jamaa kaenda kwa mganga kadanganywa kajaa…Haaa haaaaaa!!! Pete haikufanya kazi wala nini….kichapo safi akakipata na jela inamuhusu pia.
