Baada ya kupigwa chini na meneja Boss wake akiwa kama meneja wa Mariah Carey, Mtayarishaji wa mapigo ya muziki na repa almaarufu kama Jermaine Dupri So So Def CEO na Mayor wa ATL amemtambulisha msanii wake mpya nayeitwa Royce Rizzy ambaye amesaini naye mwaka huu.
Walionekana na AllHipHop.com wakiwa kwenye promo huko New York City katika kupromoti nyimbo ya msanii huyo inayoitwa “Gah damn”remix ft K-Camp, Jermaine Dupri, Twista na Lil Scrappy.
Wimbo huo utakuwa kwenye albamu yake inayokuja ambayo inaitwa Determination ambayo imepangwa kutoka mwezi huu wa Septemba.
Wimbo unaongea na mimi kwa sababu hivyo ndivyo navyoongea, hatokea Atlanta lakini lakini kama ni wewe jua hivyo ndivyo watu wanavyoogea” alisema JD akiongelea wimbo wa “Gah Damn”
JD anategemea kuachia single siku zinazokuja na amesema tutegemee mambo makubwa mwaka 2015 kutoka So So Def Music..That,s it…
Maoni ya muandishi kidogo……Kinukishe JD tunakuelewa sana kwa hit songs ulizozofanya back in days………alimtambulisha kwenye gemu mwanadada Da Brat, Bow Wow a wengine tutegemea Royce Rizzy atatisha na tutamuelewa vyema katika kiwanda hiki cha muziki duniani kwa sababu anafanya kazi na mtu mkubwa ambae anauzoefu wa siku nyyingine pia ananetwork zakutosha kumfikisha Royce Rizzy panapotakiwa.