Msanii wa miondoko ya kofoka foka Ney wa mitego aliejijengea umaarufu kwa kuchana mistara inayozungumza ukweli bila uwoga na anayetamba na ngoma yayake mpya MUZIKI GANI aliyomshirikisha Diamond ameamua kumuweka wazi baby mama wake ambaye kwa sasa ni mja mzito hivyo kuwafanya wapenzi hawa kuwa watarajiwa.
Ney Wa Mitego anatarajia kuzindua kichupa cha wimbo wake ambao ndio unatamba sasa hivi Muziki Gani Juma pili hii ndani ya maisha Club
Diamond akijaribu kufanya utundu kwa wapenzi hawa
Wapenzi wakiwa katika picha ya pamoja na Diamond